September 03, 2014

 
Mkurugenzi wa Didas Fashion, Khadija Ayoub Seif, (Wa pili toka Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelezea uzinduzi wa Filamu ya Mateso Ughaibuni inayotarajiwa kuzinduliwa siku ya Alhamis Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club. Pembeni yake ni Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere na wasanii wengine.

Na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
   FILAMU ya ‘Mateso Ughaibuni’ ambayo imerekodiwa Uingereza na wasanii Issa Musa ‘Cloud 112’, Riyama Ally, Wastara Juma na Monalisa itazinduliwa Alhamisi hii katika viwanja vya Leaders, jijini Dar es Salaam.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Didas Fashion, Khadija Ayoub Seif, ambaye kampuni yake ndiyo iliwapeleka wasanii hao Uingereza kwenda kurekodi filamu hiyo, alisema licha ya kampuni yake kujihusisha na mambo ya mavazi na vitu vingine ameona kuna kila sababu ya kuwasaidia Watanzania wanaofanya sanaa ya uigizaji.  
                           
Rais wa Bongo Movie Steve Nyerere akiongea machache mbele ya waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa Filamu ya Mateso Ughaibuni. Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Didas Fashion, Khadija Ayoub Seif na      

                                  

Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini. 
Wafanyakazi wa PSPF nao walikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.

TAZAMA KWA UFUPI HAPA

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE