September 24, 2014


T.I. at Bumbershoot.jpg
T.I. performing in Bumbershoot on August 31, 2008
 Tamasha la Serwngwti Fiesta 2014 linatarajiwa kufikia tamati OCT 18 2014 PALE LEADERS CLUB Dar Es Salaam. 
Katika Kilele hicho timu ya maandalizi  itamshusha mwanamuziki T.I. Toka nchini Marekani.
  Sasa kwa kuutambua umuhimu na mchango mkubwa sna wa tamasha hili la Fiesta kwa wasanii wetu, blog hii imeamua kuwaletea Historia ya Mwanamuziki huyu T.I. na harakati zake mbalimbali lengo kumfahamu zaidi.
Background information
Birth name Clifford Joseph Harris, Jr.
Also known as T.I.P.
Born September 25, 1980 (age 33) Atlanta, Georgia, United States
Origin Bankhead, Atlanta, Georgia, United States
Genres Hip hop
Occupations Rapper, record producer, actor
Instruments Vocals
Years active 1996–present
Labels Grand Hustle, Columbia (current) Arista, Ghet-O-Vision, LaFace, Atlantic (former)
Associated acts P$C, B.o.B, DJ Drama, Iggy Azalea, Justin Timberlake, Lil Wayne, Nelly, Pharrell Williams, Young Dro, Young Jeezy, Trae tha Truth
Website trapmuzik.com

Related Posts:

  • Ngassa ajutia nafasi, ailalamikia Yanga   Na Richard Bakana, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngassa, amejutia uamuzi wake wa kukataa kujiunga na El Merreikh ya Sudan akisema kuwa yalikuwa ni… Read More
  • Picha za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz, zilipigwa usiku wa manane    Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hak… Read More
  • Samsung yakiri Tv zao zinanasa sauti    Samsung imewaonya wateja wake kuhusu kutojadili mambo yao ya kibinafsi mbele ya televisheni zao Samsung imewaonya wateja wake kuhusu kutojadili mambo yao ya kibinafsi mbele ya televisheni… Read More
  • Cindy Sanyu amponda Miss Uganda live   Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Cindy Sanyu ameibua mjadala mzito mtandaoni baada ya kufunguka wazi kuwa mrembo anayeshikilia taji la miss Uganda kwa sasa, Leah Kalanguka ana muonekano mbaya, na kukazia … Read More
  • UN yailaumu Tanzania kwa hali ilivyo DRC   Umoja wa mataifa imezituhumu serikali za Tanzania na Burundi kuhusiana na hali katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Ripoti mpya ya kundi la wataalamu wa umoja huo kuhusu Congo, imeituhumu Tanzania kwa kuwaruhu… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE