September 25, 2014

 

 Mwanamuziki toka nchini Marekani T.I Ndiye mwanamuziki wa kimataifa aliyetajwa na waandaaji wa Tamasha la Serengeti Fiesta  kwamba ndiye atakayefunga msimu wa Fiesta mwaka 2014.

 Wakimtambulisha rasmi kupitia Video waandaajiwa Tamasha hilo wansema

         
Mkurugenzi wa Masoko Bw. Ephraim Mafuru wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited akiambatana na Bw. Allan Chonjo na Bw.Ruge kutoka kampuni ya Prime Time akizindua rasmi ujio wa Msanii kutoka Marekani TI ambae atakuja ku-perform kwenye show ya Serengeti Fiesta tar 18 Octoba 2014 katika viwanja vya Leaders Club Dar es salaam.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE