Fiesta
music tour ilifanyika kwa mara ya kwanza 105.8 Songea na kuhudhuriwa na
maelfu ya vijana ambao walishuhudia kazi za wakali kama Mr. Blue,
Linah, Rachel Mapenzi, Madee, Nay wa Mitego, Stamina, T.I.D, Linex,
Interpol yakata ushirikiano na FIFA
Shirika la polisi wa kimataifa
Interpol limesema linasimamisha uhusiano wake na FIFA uliokuwa na lengo
la kuchunguza na kukabiliana na visa vya upangwaji wa matokeo ya mechi
za kandanda, kutokana na kashfa ya rus…Read More
Washindi Kili Music Awards 2015 kutambuliwa kesho
Meneja wa Kilimanjaro ,Pamela Kikuli akizungumza na wanahabari (hawapo)pichani.
Wanahabari wakichukua tukio.
WASHINDI wa Kilimanjaro Music Awards 2015 (KTMA) wanatarajiwa kuanikwa kesho ndani ya Ukumbi wa…Read More
Mzee Yusuph kutangaza nia kesho
Msanii wa taarabu na CEO wa bendi ya Jahazi Modern Taarab Mzee Yusuf
anategemea kutangaza nia kesho Jumamosi 13 Juni 2015, Huu ukiwa ni mwaka
wa uchaguzi, tumeshuhudia makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi
wakitangaz…Read More
Mini Power Roulette ni ushindi
-
Ukiwa na buku tu Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuongezea mara dufu
Zaidi, kupitia sloti...
The post Mini Power Roulette ni ushindi first appeared ...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment