
Kinachoshtua na muda mwingine unaweza kushangaa ni mazngira ya ndoa hiyo ambayo unaambiwa mtoto huyo[bi.harusi] alikuwa nje na rafiki yake wakicheza Rede mchezo unaochezwa na watoto wa kike sana baadae akaitwa na baba yake akaambiwa akanawe miguu kwani siku hiyo anaolewa.
Husna Abdul yuko Mtwara na pia alifanikiwa kuongea na mtoto huyo aliyeolewa kisha kukimbia na kurudi kwa mama yake baada ya siku 3 tu tangu aolewe.
88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.
Bonyeza play kusikiliza.
Kwa hisani ya Millardayo.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment