October 02, 2014

  Huu ndiyo ujio mpya kabisa toka kwa baba kijacho Hakeem Five, Hapa kamshirikisha mshkaji wake wa kitambo sana Ally Kiba. Wimbo unaitwa Madebe, producer Mo Fire katika studio za Fire Music. Hakeem amesema Video ya wimbo huu ipo njiani hivi karibuni

SKILIZA NA PIA DOWNLOAD HAPOA CHINI

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE