October 03, 2014


  Ni  katika Show inayofahamika kw ajina la Beautiful Party inayofanyika usiku wa lkesho  ndani ya Club Kakala Kigamboni, Mwana dada Dayna amepani kufanya maajabu kwa lengo la kukobga nyoyo za mashabiki wake vilivyo. Show hiyo inayotalajiwa kuhudhuliwa na watu mbalinbali jijini Dar Es Salaam kiingilio ni Th: 7000/=
  Dayna amewataka mashabiki wake wafike kwa wingi bila kusita kwani ana zawadi maalum kwao kama shukrani ya kumsaport kwa muda wote ndani ya game.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE