Wimbo wa kwanza katika album ya NEW DAY kutoka kwa ANGEL BENARD "Need you to reign" ni wimbo unaomuomba Mungu awepo katika maisha yake na amuongoze katika kila jambo. Wimbo huu umerekodiwa Mujwahuki Studios chini ya Producer Mujwahuki mwenyewe. Producer huyu pia alishawahi kufanya kazi na msanii Ben Pol katika wimbo wake wa Nikikupata. Nyimbo zote katika album hii zimetungwa na kuimbwa na Angel Benard
TANZANIA YASISITIZA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA JAPAN ILI KUCHOCHEA MAENDELEO
YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
-
Tanzania imesisitiza kuwa itaendelea kushirikiana na Japan pamoja na wadau
wengine ili kuchangia maendeleo na hatimaye kuendelea kuimarika zaidi
Jumuiya y...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment