
Mkali
wa ngoma ya Mwana DSM, Ally Kiba kama unakumbuka alishiriki kwenye
project ya One 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa barani Afrika
waliteuliwa na kwenda nchini Marekani wakakaa studio moja na msanii wa
kimataifa R Kelly, ambaye aliwaandikia ngoma ya Hands Across The World
na Wakai Record

Ndani
ya ngoma hiyo kuna sauti za wasanii kama 2face, Ali Kiba, Amani, Navio,
JK, Movaizhaleine, Fally Ipupa. Project hiyo ilisimamiwa na Rock Star
4000, na Sony Music
4000, na Sony Music

0 MAONI YAKO:
Post a Comment