November 01, 2014


 Karibu sana katika 2nd anniversary tangu kurejea kwa THE LEGEND DJ JOHN DILLINGA MATLOU jomamosi hii tarehe 1/11/2014 ndani ya isumba lounge (jollies club). Ratiba zitaanza saa 3 usiku, kiingilio 15,000/- kabla ya saa 6 usiku na 20,000/- baada ya muda huo. Tulianza pamoja njoo tutimize pamoja

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE