
Good news nyingine ni mshiriki wetu
kwenye Mashindano ya Miss World, Happiness Watimanywa ambae saa chache
zilizopita imethibitika kwamba ameiwakilisha vizuri Tanzania na kuifanya
iingie kwenye kumi bora za mashindano ya Miss World People’s Choice.
Aliandika kwenye instagram “Tanzania Asanteni kwa support na uzalendo, tuendelee mpaka namba moja!!!!! #vote #PigaKura #DownloadTheApp #MissWorld2014”– @happinesswatimanywae.
Katika list hiyo, Happiness ameshika nafasi ya tisa katika kumi bora kama inavyoonekana hapa chini.


2014 unaweza kuwa mwaka mkubwa na wenye
kumbukumbu nzito iwapo tutamsaidia Happiness kushinda kwenye shindano la
Miss World, ushindi wa Idris na Diamond umetokana na mwamko mkubwa wa
Watanzania kwenye kupiga kura, mafanikio haya mapya kwa Happiness pia
yametokana na kura hivyo bonyeza hapa ili kuendelea kumpigia kura kwa kudownload app ya Miss World kwenye simu yako
0 MAONI YAKO:
Post a Comment