December 11, 2014

Mshindi wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots,
 
 Idris Sultan (katikati) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.
Idris akiongea na waandishi wa habari.
Waandishi wa habari na baadhi ya ndugu na marafiki wakimsubiri Idris.

Idris akiwasili katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.

Picha kw ahisani ya vyanzo mbalimbali

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE