December 22, 2014

86crls 
December 02 ndiyo siku rasmi ya kuanzishwa kwa kituo cha Clouds Fm ambapo kwa mwaka huu kimetimiza miaka 15,taarifa ilitoka kuwa hii si Birthday ya siku moja bali ni Birthday ya mwezi mzima huu December.
Kwa wakazi wa 88.5 Dar es salaam jana walipata nafasi ya kukusanyika pamoja kwenye parking za magari za Mliman City kisha kufurahi pamoja na kumshukuru Mungu kwa miaka hii 15 na kujiandaa kuipokea sikukuu ya Christmas.
3crls 

4crls 

 Party hii ilipewa jina la Christmas Carlos Night ambayo iliandaliwa na Clouds ikishirikiana na Mliman City,kwaya mbalimbali zilijumuika na kisha kutoa burudani kwa watu waliofika kwenye party hii ambayo haikua na kiingilio.

7crls

8crls 

10crls 

14crls 

17crls 

19crls 

26crls 

30crls 

31crls 

32crls 

34crls 

42crls 

45crls 

46crls 

64crls 

66crls 

67crls 

62crls 

61crls 

60crls 

68crls 

56crls 

93crls 

91crls 

82crls 
Kauli mbiu ya safari hii ni (Tunakufungulia Dunia kuwa unachopenda)

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE