December 23, 2014

 Mwana muziki Linah akitumbuiza jukwaani leo hii 
Tamasha la Tuonane January limefanyika mkoani Morogoro huku likihudhuliwa na umati mkubwa wa wakazi wa mkoa wa Morogoro.
  Katika Tamasha hilo wasanii kibao waliweza kutoa Buridani huku wakiambatanisha na ujumbe juu ya kuwapata viongozi bora kwa maslahi ya Taifa na si kutumika na vyama vya siasa kwamaslahi ya vyama hivyo
 
Msanii toka Kundi la Weusi Niki wa pili akiwapa ladha wakazi wa Mkoani Morogoro katika tamasha la Tuonane January 

Shilole kwenye Stage ikichuna Buzi

KAULI MBIU Y TAMASHA HILO NI: uongozi wa sasa unahitaji kiongozi wa ki sasa na si Kisiasa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE