December 27, 2014

 Hapa baada ya kutembelea makaburi

 Vijana wa  wanaunda kundi la Ubalozini Respect mkoani Morogoro siku ya jana walifanya ziara yao ya kawaida kabisa ya kutembelea na kufanya maombi makuburini ikiwa ni kuwaumbuka ndugu zao na jamaa mbalimbali wana ohusiana na ubalozini
  Ziara hii ni ya kawaida kabisa kwani ni tabia ya Camp hii kfanya ziara ya aina hii kila Th 26 December ikiwa ni zawadi yao kw andugu na jama wliotangulia mbele za haki






0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE