January 30, 2015

THTTEN 
Maandalizi ya mwisho yameshakamilika ya tamasha la miaka 10 ya THT ambalo linafanyika Jumamosi ya January 31 Escape One Mikocheni,kuna wakali wengine wa Bongo Fleva wameongezwa kwa ajili yako mtu wangu utakaekuwepo kwenye party hii. Ben Pol na Grace Matata ni miongoni mwa wasanii walioongezwa kwenye party hii,good news ni kwamba tayari tiketi zimeanza kuuzwa kwenye vituo kadhaa ikiwemo Clouds Fm,THT Kinondon,Robby One Fashion Kinondon na Sinza,Born 2 shine,Yahya Boutique,Mr.Price Mliman City na City Sports Lounge.
Tiketi kwenye vituo hivi mtu wangu zinauzwa 15,000 halafu pale mlangoni zitauzwa 20,000 lakini kama utahitaji tiketi za Vip nazo pia zipo na zinauzwa THT peke yake mtu wangu.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE