
Katika harakati za kupambana na ukatili wa kijinsia hususan
ukeketaji wa wanawake nchini Tanzania,zaidi ya mabinti 16 waliotoroka
makwao baada ya kuon akil adalili ya kutaka kukeketwa na jamii
zao,wazungumza na rfikiswahili wakiwa Tarime mkoani Mara,wakati huu
shule zikifunguliwa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment