

Mkali wa muziki wa kizazi kipya bongo Freva Nay wa mitego anayetamba sana kwa sasa na wimbo wake wa AKADUMBA, AMEACHI PICH AZAKE HIZI ZIKIMUONESHA KATIKA MUONEKANA WAKE MPYA, Nay hapa anaonekana ni mtu tofauti kabisa na watu wengi wanavyomchukulia
Ameachia Picha Hizi zikionyesha Mwonekano Mpya Na Wakitanashati zaidi.


0 MAONI YAKO:
Post a Comment