Baada ya kufanya poa sana na wimbo wake wa Rimex ya John iliyoimbwa na yemmy Alade wa Nigeria na yeye kuipa jina la Penny, mwanamuziki toka mkoani Morogoro Mash J, safari hii imekuja tena na wimbo wake mpera mpera aliomshirikisha Stamina na wimbo huo umefanyika katika studio za Kwanza Records chini ya Producer Vennt Skillz
Bado unataka simu Mpya? Meridianbet wana Samsung A25 kwa ajili yako
-
NGOJA nikwambie kitu mdau, kama bado unasubiria bahati ya kushinda bila
kuweka juhudi kidogo basi...
3 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment