January 27, 2015

13523421 

Baada ya kuachia audio ya wimbo wake Mperampera aliomshirikisha Stamina, msanii toka Mkoani MOROGORO Mash J, sasa ameachia rasmi video ya wimbo huo unaofanya poa sana kwa sasa.
Official Video ya msanii MASH J FT. STAMINA. Nyimbo inaitwa MPERAMPERA na audio imetengenezwa na VENT SKILLZ wa KWANZA RECORDS. Video imefanywa na KWETU STUDIOS, Directed by Msafiri Shabani

Video hii hapa chini
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE