Mwana muziki toka katika kundi la Tip Top Connection la Manzese Tunda man, anasema kwa sasa Tanzania inahitaji kiongozi anayeweza kuendana na wakati wa sasa.
Akizungumza na Ubalozini.blogspot.com Tunda anasema "Tumeouna uwajibikaji wa Lowassa kipindi akiwa waziri mkuu na kwa muda mfupi tumeona mafanikio yake ikiwemo shule za secondary za kata na za msingi"

Tunda amewa hakikishia watanzania kuwa safari hii Tanzania inahitaji kusonga mbele zaidi, ili kufikia malengo na kuendana na dunia ya kisasa tunahitaji kupata kiongozi muwajibikaji ambaye amewataka watanzaia kwa pamoja kuungana katika hili na kuachana na propaganda
0 MAONI YAKO:
Post a Comment