January 27, 2015

 
Na Abuu Naco Tabora
Mwanamke mmoja mkoa Tabora wilaya ya Tabora mjin kata ya chemchem amewaua watoto wake 2 na kuwazika ndani ya NYUMBA yake.
 Taarifa zinasema  chanzo ch atukio hilo ni baada ya mumewe
 kamkimbia na hatimaye kuona maisha kuwa magumjndipo alipoamua kuwalisha sumu sumu watoto hao walivyokufa akaanza kuchimba hilo shimo, 
Taarifa zinazidikusema kwamba kuna jirani alimsikia akichimba lakini akampuuza. Siku ya pili akatangaza kupotelewa na watoto ila yule jirani akaliwekea mashaka na akatoa taarifa polisi kwamba kuna siku alimsikia muhusika kama alikuwa anachimba usiku na siku hiyo aliwaona watoto wake wote wakiingia ndani kwao kwani mara ya mwisho walikuwa kwake wakicheza mpaka giza lilopoingia ndio akawaamuru warudi nyumbani.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE