February 28, 2015


 ripkomba
 Mbunge wa Mbinga  Mh: john Komba, amefariki Dunia jioni hii. Taarifa za kifo cheke zimetolewa katika A/C ya Twitter ya CCM na kusambaa katika vyombo mbalimbali . 
 
Kepteni Komba enzi za uhai wake

Mh: Komba licha ya kuhusika na Siasa lakini pia alikuwa ni mtunzi na muimbaji wa nimbo mbalimbali hasa nyimbo za kwaya. Mungua ailaze roho yake mahala pema peponi. 

 ubalozini.blogspot.com inaungana na watanzania wote katika maombolezo ya msiba huu.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE