Maelfu ya watu wa jamii ya Wamakonde wanapewa uraia wa Kenya kwa mara ya kwanza.
Kabila la Makonde linaloishi pwani ya Kenya walihama kutoka Msumbiji enzi za ukoloni kuja Kenya na kufanya kazi katika mashamba ya miwa.
Watakaposajiliwa, Jamii hiyo ya Wamakonde elfu tatu watapewa vitambulisho na kuwa kabila la 43 nchini Kenya.
Kushindwa kwao kujitambulisha kunamaanisha kwamba kwa miongo kadhaa wameshindwa kujisajili katika shule ama hata kutafuta kazi
Meridianbet waongeza ladha, ni ujio wa Slotopia
-
Katika jitihada za kuboresha zaidi huduma kwa wateja wake na kuongeza
thamani ya burudani, Meridianbet...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment