Hpa ni Matonya, Tunda, Dahuu na Geah Habib siku ya usuluhishi
Baada ya wasanii wawili nguli wa muziki wa Bongo fleva Tunda man na Matonya kumaliza tofauti zao ndani ya kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm, hatimaye wasanii hao wameingia studio na kufanya kazi pamoja inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.
Tazama video hii wakiwa studio
0 MAONI YAKO:
Post a Comment