March 23, 2015


Wasanii mbalimbali katika uzinduzi wa tuzo za Kilimanjaro Music Awards (Picha:Library)

Msimu mpya wa tuzo umezinduliwa rasmi leo na kuwa na maboresho kadhaa ikiwepo njia zitakazotumika kupendekeza wasanii na nyimbo kushiriki katika mchakato huo ambapo kwa mwaka huu kutakuwa na njia tatu tofauti na mwaka jana ambapo kulikuwa na njia mbili za kupendekeza na kupiga kura kupata washindi wa tuzo hizo.

Kwa mwaka kuu kuna maboresho katika mapendekezo hivyo mashabiki wanaweza kupendekeza nyimbo au msanii kupitia tovuti,SMS pamoja na Whatsapp.

"Mashabiki watapewa nafasi ya kupendekeza majina ya nyimbo na wasanii wanaostahili kuingia katika kinyang'anyiro na Njia za kupendekeza ni kupitia: Tovuti, Whatsapp na SMS,Mashabiki watapewa nafasi ya kupendekeza majina ya nyimbo na wasanii wanaostahili kuingia katika kinyang'anyiro"

Lakini pia wadhamini hao wakuu wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awadrs wamesema kuwa zoezi la kupendekeza msanii na nyimbo yataanza rasmi Machi 30 hadi April 19 huo ndio muda wa mashabiki kupendekeza majina ya nyimbo na wasanii wanaostahili kuingia katika tuzo

Related Posts:

  • Mtoto wa Siku Moja Aibwa Hospitalini Mtoto wa siku moja ameibwa katika mazingira ya kutatanisha katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, akiwa pembeni mwa mama yake aliyekuwa amelala, mwenye umri wa miaka 16. Akizungumzia uporaji huo jana, Kamanda… Read More
  • Ajali ya Lori Yaua watu 7 na Kujeruhi 10 WATU saba wamekufa na wengine 10  k u j e r u h i w a baada ya gari walilokuwa wanasafiri nalo aina ya Mitsubishi Fuso kupasuka tairi la mbele na kugonga kingo za barabara katika barabara kuu ya Igunga-Sin… Read More
  • Mkuu wa Mkoa Morogoro aomba msaada kwa Rais Mkuu wa Mkoa wa Morogoro aliyemaliza muda wake , Dk Rajab Rutengwe amemuomba msamaha Rais Dr Magufuli na kumuomba msaada  amfikirie upya kutokana na kutokujua ashike wapi tangu alipomuachisha kazi hiyo . Dk Rutengw… Read More
  • Kiingilio cha chini Stars Vs Chad, 'Buku Tano' Viingilio vya mchezo huo vimegawanyika katika makundi matatu, ambapo kiingilio cha juu kitakuwa shilingi elfu ishirini na tano (25,000) kwa VIP A, na shilingi elfu ishirini (20,000) kwa VIP B, na kwa viti vya … Read More
  • Magazeti ya leo Jumapili ya Pasaka 27 March 2016     Karibu mpendwa katika habari za magazetini leo hii ikiwa ni jumapili ya pasaka. Tumekukusanyia habari zote kubwa katika magazeti ya Tanzania, Pitia vichwa vya habari na kisha fika katika meza za magazeti kuj… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE