March 24, 2015

 

 Hii ni kazi nyingine kabisa toka kwa mkali wa Hip Hop Tanzania Stamina Kabwela, hapa kamshirikisha mkali wa Hip Hop toka Mwanza Fid Q, wanakwambia Like Father like Son. Audio ya wimbo huu imefanywa kwa umahili mkubwa kabisa na producer mchanga Tanzania anayekuja kwa kasi sana kwa sasa Vennt Skillz toka mkoani morogoro katika studio za Kwanza Records Kumbuka kwamba Stamina siku zote amemfanya Fid Q ndiye baba yake wa Game hii. Je? unadhani ndani ya wimbo huu wamezungumzia nini??

 Download hapa sasa

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE