April 13, 2015

Embedded image permalink 
Zitto Kabwe akihutubia Mkutano Morogoro
 Wakazi wa Mkoa wa Morogoro na vitongoji vyake leo hii kwa mara ya kwanza wamekipokea Chama kipya cha Wazalendo cha ACT chini ya kiongozi mkuu wa chama hicho  Zitto Zuceri Kabwe  (ZZK) na tim nzima ya uongozi wa Taifa.

 Akizungumza katika mkutano huo uliohudhuliwa na maelfu ya wakazi mkoani hapa Zitto Kabwe amesema wamekuja kuleta ukombozi kwa walala hoi. Pia zitto amewataka wakazi wa Morogoro kukipokea chama cha ACT ili wafanye kazi na maamuzi sahihi juu ya Tanzania inayohtajika
   Pia Zitto amewata watanzania kuachana na plopaganda zinazoenezwa juu ya ACT na kuwaambia wafanye kazi katika kulijenga Taufa

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE