April 26, 2015

V 
AyoTV inayo furaha kukutanisha na part 1 interview na mwimbaji wa bongofleva Vanessa Mdee ambaye kwa kipindi cha miaka mitatu jina lake limepata uzito kutoka kwenye utangazaji mpaka kwenye muziki.
Inawezekana jina lake limepita sana kwako, au unazipenda sana nyimbo zake lakini kuna mengi huyajui kuhusu yeye, alikozaliwa? alipoishi? kwanini huwa hatokei night clubs kikawaida? ukweli mpya kuhusu yeye na Jux? na maswali mengine yote bonyeza hapa chini kumtazama.

          

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE