April 24, 2015

Screen-Shot-2015-04-20-at-4.36.10-PM 

Mkali wa muziki wa Hip Hop Tanzania ambaye kwa sasa ni mwana siasa wa Chama cha ACT- Walendo Afande Sele ameachia video yake hii mpya kabisa inaitwa soma ule
  Afande sele pia leo hii ni siku yake ya kuzaliwa. Blog hii inakutakia maisha marefu yenye kheri nabaraka tele

             

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE