April 24, 2015

Pozi No.1

 Mkali wa muziki wa bongo fleva Tanzania Dayna Nyange amekuja na muonekano huu mpya kwa sasa. Dayna ambaye anafanya poa sana na wimbo wake Nitulize aliomshirikisha Nay wa Mitego
Pozi No 2

 amentumia picha hizi ambazo amesema hili ni pozi jipya ambalo amewataka mashabiki wake na wadau kwa jumla wachague picha moja itakayoendana na jina la wimbo huo mpya wa Nitulize, na pozi hilo kuitwa jina la nitulize poz
 Pozi No 3
Pozi No 4
 Pozi No 5
 Pozi No 6
 Pozi No 7
Pozi No 8

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE