May 29, 2015

 
   Kwa mara ya kwanza mwanamuziki wa Hip Hop toka mkoani Morogoro STAMINA kesho ataandika historia ndani ya mkoa huo kufuatia uzinduzi wa Albam yake ya MT. Uluguru 
  Uzinduzi huo utakaofanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri Morogoro utahudhuliwa na wakali kibao wa Bongo Fleva watakaotoka ndani na nje ya mkoa wa Morogoro. Wanamuziki kama Feed Q, Izoo B, Roma, Afande Sele, Madee, Barnaba, Rachel, Rich Mavoco, Darasa, MR. Blue, Mash J, Kenny, Poison na wengine kibao watamsindikiza Stamina katika uzinduzi huo.
 Kiingilio kitakuwa ni TSH:5000/= na milango itakuwa wazi kuanzia saa nne kamili Asubuhi

Related Posts:

  • Huu ndiyo utajiri wa Mwanamuziki AY Msanii wa Bongo Flava, Ambwene Yessaya au maarufu kama A.Y ni moja kati ya wasanii waliopata mafanikio makubwa sana kwenye soko la mziki nchini Tanzania. A.Y ambaye alianza mziki na bado yupo mpaka leo tangu miaka ya 9… Read More
  • Mfalme wa Saudia, ziarani Urusi   Mfalme Salman wa Saudi Arabia amewasili Moscow, ikiwa ni ziara ya kwanza kwa mtawala wa kifalme wa nchi hiyo kutembelea Urusi. Katika ziara yake hiyo, atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Vladmir Putin, ikiw… Read More
  • Penzi la Wolper na Brown chali?   Duniani kuna mambo, Ile couple ya Amber Rose na 21 Savage ya Bongo inayomuhusu muigizaji wa filamu  Jackline Wolper na Brown dezaini kama limekufa hivi. Wawili hao ambao walionekana wakiwa wameshibana kima… Read More
  • Hamisa Mobetto kuwania tuzo za South Africa Mwanamitindo, Hamisa Mobetto amepata shavu kwa kutajwa katika msimu wa nne wa tuzo za Starqt Awards zinazohusisha biashara, mitindo, burudani na vitu vingine. Hamisa ametajwa katika tuzo hizo kwa kuwania vipengele&nb… Read More
  • Aslay aiteka Morogoro , Samaki Spot   Mkali wa muziki wa Bongo fleva anayetamba kwa sasa toka Dingi Int. Aslay Isihaka, wikendi iliyopita aliiteka Morogoro pale alipopiga bonge ya show katika ukumbi wa Samaki Spot mkoani Morogoro. Aslay alionekana ku… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE