Mwanamuziki wa kizazi kipya toka mkoani Dodoma Aine wa sinampango naye, yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ya Juddy aliyomshirikisha Dullayo. Akitia Story na blog hii, Ainea amesema ameamua kuja na Dullayo kutokana na kumuelewa sana huyu jamaa na ni moja ya ndoto yake kufanya kazi naye. Ngoma hii ya juddy itaachiwa rasmi ijuma hii. Hivyo kaa mkao wa kula kutoka kwa Ainea
June 23, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment