DJ mkali bongo na anayekubalika na wimbi la wadau toka Times Fm na instagram Party DJ d Ommy atimaye amehamia Clouds fm.
DJ D ommy ametambulishwa leo katika kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds Fm
DJ D Ommy akiwa Clouds Fm
DJ D Ommy akiwa na mdau mkubwa wa Clouds Daudi wa kota
Team XXL na Dj D Ommy akiwapo
DJ D Ommy akiwa na mkurugenzi wa vipindi na uzarishaji wa Clouds Rugemalila Mutahaba
0 MAONI YAKO:
Post a Comment