June 24, 2015

  Hekaheka za kumpata mgombe wa urais zikizidi kupamba moto ndani ya chama cha Mapinduzi -CCM, Watia nia mbalimbali wa nafasi hiyo wakiendelea kusaka wazamini mikoani
 Kwa mkoa wa Morogoro ikafika zamu ya Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kmataifa ambaye ni Mbunge wa Mtama MH: Berdad Membe. Akizungumza na wana CCM na wananchi wa Morogoro Mh: Membe amesema atahakikisha anafufua Viwanda vilivyokufa na kukuza soko la Ajira kwa vijana

Sikiliza hapa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE