June 13, 2015

Tayari nimekabidhiwa tuzo yangu leo niliyotunukiwa na CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM, hii ni heshima ya kipekee na kiukweli imenipa nguvu sana hii tuzo, nina deni la kujituma zaidi kwenye kazi. Thanks watu wangu yani... #AchieversAwards2015 #UDSM2015 @achievers_awards

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE