Maafisa wa polisi wanasema kuwa
mshukiwa huyo aliyejihami na bunduki aliketi katika mkutano wa
mafundisho ya biblia kwa takriban saa moja kabla ya kufyatua risasi na
kuwaua wanawake sita na wanaume watatu akiwemo mchungaji wa kanisa hilo. Maafisa wamelitaja shambulizi hilo kama la uhalifu wa chuki. Bi Lynch amesema idara ya haki itaangazia maswala yote ili kubaini njia mwafaka ya kumfungulia mashtaka mshukiwa.
Dk Slaa akamatwa usiku ‘mnene’ Dar
-
JESHI la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia kwa
mahojiano aliyekuwa balozi...
The post Dk Slaa akamatwa usiku ‘mnene’ Dar first appea...
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
-
*1. IMDB*
www.imdb.com
*2. IPP Media*
www.ippmedia.com
*3. Idhaa ya kiswahili DW.DE*
www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/s-11588
*4. Idawa Onlin...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment