Mzee Yusuph ambaye June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro alinyakua karibu vipengele vyote alivyotajwa kuwania ameiambia Kikwetu Blog kuwa tungo za Jahazi Modern Taarab zinamgusu kila mtu.
Muimbaji huyo amesema kila siku wamejitahidi kutengeneza nyimbo zinazoenda na wakati na kubadilika mara kwa mara.
“Sisi tuna tungo ambazo zinastahiki na zinapendwa na wenyewe. Zile tungo za Modern Taaraba ambazo zinamgusa kila mtu kwa ile namna ambavyo imezoeleka,” alisema
0 MAONI YAKO:
Post a Comment