Dayna Nyange hapa akiwa na Cindy Sanyu wa Blue three
Sherehe za utoaji tuzo hizo zitafanyika katika ukumbi maarufu nchini
wa Mlimani City (zitaanza saa 1 usiku) ambapo wasanii wakali kama
Diamond, Ali Kiba, Joh Makini, Mwana FA na Fid Q watachuana vikali
kuwania tuzo mbalimbali katika sherehe hizo zinazofanyika kila mwaka.
Ally Kiba na Abdul Kiba
Sherehe zitaonyeshwa moja kwa moja kupitia Clouds Televisheni na pia mtandaoni kupitia (livestream) http://www.kililager.com/ktma/… Usikose…Orodha ya wasanii waliongia katika kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music Awards 2015:
MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME
1. Mzee Yusuf
2. Christian Bella
3. Diamond Platnumz
4. Ally Kiba
MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIKE
1. Vanessa Mdee
2. Khadija Kopa
3. Isha Mashauzi
4. Shaa
5. Dayna Nyange
MWIMBAJI BORA WA KIUME- TAARAB
1. Mzee Yussuf
2. Prince Amigo
3. Hassan Vocha
4. Hassan Ally
5. Mussa Kijoti
MWIMBAJI BORA WA KIUME- BONGO FLEVA
1. Ali Kiba
2. Ben Pol
3. Jux
4. Diamond
5. Belle 9
MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI
1. Jose Mara
2. Kalala Junior
3. Khalidi Chokoraa
4. Chaz Baba
5. Nyoshi El Sadat
MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARAB
1. Khadija Kopa
2. Isha Mashauzi
3. Hadija Yussuf
4. Leyla Rashid
5. Fatuma Nyoro
MWIMBAJI BORA WA KIKE- BONGO FLEVA
1. Lady Jaydee
2. Vanessa Mdee
3. Linnah
4. Grace Matata
5. Malaika
MWIMBAJI BORA WA KIKE- BENDI
(Hakukuwa na washindani)
WIMBO BORA WA TAARAB
1. Hasid Hana Sababu – Hadija Yussuf
2. Lady With Confidence – Khadija Kopa
WIMBO BORA WA MWAKA
1. Mwana – Ali Kiba
2. Nani kama Mama – Christian Bella
3. Gere – Weusi
4. Nitasubiri – Jux
5. Bongo Hip Hop – Fid
WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1. Otilia – FM Academia
2. Kiu Ya Haki – Mashujaa Band
3. Sauti ya Marehemu – Mapacha Watatu
4. Ganda la Muwa – Twanga Pepeta
5. Wale Wale – Vijana Ngwasuma
WIMBO BORA WA R&B
1. Nitasubiri – Jux
2. Unanichora – Ben Pol
3. Vitamin Music – Belle 9
4. Sisikii – Jux
5. Ni Penzi – Damian Soul
WIMBO BORA WA HIP HOP
1. Bongo Hip Hop – Fid Q
2. Mfalme – Mwana FA
3. Kipi Sijasikia – Proffesor Jay
4. Gere – Weusi
5. I See Me – Joh Makini
6. XO – Joh Makini
WIMBO BORA WA REGGA/DANCE HALL
1. Let Them Know – Maua
2. Mama Afrika – Warriors From The East
3. Maisha Magumu – Warriors From The East
4. Greeting For You – Ras Six
5. Tujimwage – Deddy
RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
1. Ferguson
2. Msafiri Diouf
3. Sauti ya Radi
4. J4
5. Kabatano
MTUNZI BORA WA MWAKA- TAARABU
1. Mzee Yusuf
2. Thabit Abdul
3. Isha Mashauzi
4. Abdallah Fereshi
5. Hassan Ally
MTUNZI BORA WA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Ally Kiba
2. Diamond
3. Ben Pol
4. Barnaba
5. Jux
MTUNZI BORA WA MWAKA- BENDI
1. Jose Mara
2. Nyoshi El Saadat
3. Rogart Hegga Katapila
4. Hussein Jumbe
5. Richard Mangustino
MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP
1. Fid Q
2. Mwana FA
3. Joh Makini
4. Nikki wa Pili
5. Kala Jeremiah
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Nahreel
2. Man Water
3. Mesen Selekta
4. Tudd Thomas
5. Marco Chali
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- TAARAB
1. Enrico
2. Marlon Linje
MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- BENDI
1. Allan Mapigo
2. Enrico
3. Said Comorien
4. Amoroso
5. Ababuu Mwana Zanzibar
VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1. Mdogo Mdogo – Diamond
2. Nitampata Wapi – Diamond
3. Mwana – Ally Kiba
4. Olethemba – Linah
5. Asante – AY
WIMBO BORA WA AFRO POP
1. Mwana – Ali Kiba
2. Mdogo Mdogo – Diamond
3. Niseme – Yamoto Band
4. Nitakupwelepweta – Yamoto Band
5. Kanyaboya – Mesen Selekta
6. Hawajui – Vanessa Mdee
WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
1. Nani Kama Mama – Christian Bella
2. Basi Nenda – Mo Music
3. Nitampata Wapi – Diamond
4. Nasimama – Lady Jaydee
5. Historia – Lady Jaydee
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA
1. Waite – Mrisho Mpoto
2. Vuma – Vitalis Maembe
3. Tumetoka Mbali – Jagguar Music
4. Mama Shabani – Ifa Band
5. Omwana – B.K Sande
MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKIA
1. Baraka Da Prince
2. Beka Tittle
3. Afromaniac
4. Alice
5. Billnas
WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA
1. Forever – Lady Jaydee ft Dabo
2. Mfalme – Mwana FA fr G-Nako
3. Kipi Sijasikia – Prof Jay ft Diamond
4. Kiboko Yangu – Mwana FA ft Ali Kiba
5. Kerewa – Shetta ft Diamond
BENDI BORA YA MWAKA
1. FM Academia
2. The African Stars
3. Mapacha Watatu
4. Mashujaa Band
5. Msondo Ngoma
KIKUNDI BORA CHA MWAKA- TAARAB
1. Jahazi Modern Taarab
2. Mashauzi Classic
3. Dar Modern Taarab
4. Five Stars
5. Wakali Wao Modern Taradance
KIKUNDI BORA CHA MWAKA- BONGO FLEVA
1. Yamoto Band
2. Weusi
3. Navikenzo
4. Makomando
5. B.O.B
Leo ni leo asemayo kesho muongo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment