Orodha ya mwaka huu ya matajiri ilionyesha kuwa Mayweather, alikuwa kinara, akijiingizia dola milioni 300.
Pesa nyingi zimetokana na pambano lake kubwa na Manny Pacquaio, ambaye malipo ya dola milioni 160 yalimfanya awe wa pili.
Mshambuliaji wa Real Madrid alikuwa wa tatu kwa kuwa na dola milioni 79.6.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment