
Nguli wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania na ndiye inayeaminika ni msanii mwenye mashabiki wengi sana Sir Juma Nature, jana alifanya ibada miungoni mwa ibada za mwezi wa Ramadhani baada ya kufuturisha kwa waliofunga nyumbani kwake.



"Allahmdullilah leo tumemaliza salama na hii itakua ndo taratibu yangu kila #Ijumaa ntakua nafturisha mpaka Ramadhan iishee"





0 MAONI YAKO:
Post a Comment