June 26, 2015

Sepp Blatter, 79
Sepp Blatter, 79
Sepp Blatter amechochea tetesi kuhusu mustakabali kwa kusisitiza kuwa hajajiuzulu kama rais wa FIFA lakini atakabidhi madaraka kwenye baraza maalumu.
Blatter alitangaza Juni 2 kuwa amejiuzulu urais wa FIFA kwa baraza maalumu litakalofanyika kati ya Desemba na Machi. Kitendo hiko kilifuata baada ya mgogoro wa maafisa18 wa FIFA kushikiliwa na Marekani wakihusishwa na makosa ya rushwa.
Sasa, ikionekana na baadhi kama jaribio chafu la kupambana na wakosoaji wake, Blatter alizungumza kwa mara ya kwanza tangu atangaze kwa kusema: “Sijajiuzulu, nimetoa madaraka yangu kwa baraza maalumu.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE