June 17, 2015

yamoto 

 YAMO 
Picha mpya ya video inayo shootiwa  South na Yamoto Bady  ndio hii. Kwa sasa Yamoto Band wapo njiani wanarejea home Tz,  wakiwa tayari wamemaliza kichupa chao. Hivyo ukiwa kama shabiki waukweli basi tambua kuwa kuanzia sasa muda wowote unaweza ukakiona kichupa hicho #ChezaKwaMadoido

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE