Amedai kuwa ushindi huo pia ni ishara kuwa kazi anayoifanya inaeleweka na watanzania wengi waliompigia kura.
“Kuna mtu aliniambia utapewa tuzo pale utakapostahili kupongezwa kwa kazi nzuri. Kupata nomination pia ni moja ya sifa unayoweza kuandika kwenye CV, kwenye Wikipedia lakini kushinda milele utakuwa ni mshindi wa tuzo Fulani,” amesema Vanessa.
“Inanipa moyo kuona kwamba kazi inapokelewa lakini bado nahitaji kufanya kazi, kua vitu vingi ambavyo bado sijavifanya.”
Vanessa mwaka huu ametajwa kuwania tuzo za MTV MAMA katika kipengele cha msanii bora wa kike.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment