July 02, 2015

 
 Tukiwa bado tupo katika kipindi cha kuelekea kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Udiwani, Ubunge na Rais, tumekuwa tukiwaletea matukio mbalimbali yatakayoendana na tukio hili kubwa la kitaifa. Leo hii tunawaletea kipande kidogo cha Hotuba ya Rais wa kwanza wa Tanzania mwalim J.K Nyerere juu ya kiongozi asiyefaa kuwa rais wa Tanzania

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE