July 25, 2015


Baada ya matokeo ya kuwania Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandika ujumbe huu;

Kuna matokeo ya aina 3 

>>Kushinda

>>Kushindwa

>>Kudroo. 

Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE