July 25, 2015


Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini usiku huu, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’. Meneja wa Diamond Sallim Sk amepost katika ACyake ya instagram na wadau wengi kupongeza tukio hilo

  

Ubalozini.blogspoycom tunatoa pongezi nyingi kwa Diamond na menejiment nzima

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE