Ni maneno ya kiongozi wa C.U.F katibu mkuu Maalim Seif Sharrif Hamad kuhusu ishu nyingi za uchaguzi mkuu wa Tanzania unaohusisha Ubunge na Urais ambapo unatarajiwa kufanyika October 2015.Hpa Millarda Ayo ametuletea Video yake
AFANDE SELE:NATAKA KUWA MBUNGE WA KWANZA KUWA NA RASTA BUNGENI
NGULI
wa muziki wa Bongo Fleva,Seleman Msindi’Afande Sele’ amefunguka kuwa
atakapogombea ubunge mwaka 2015 kupitia jimbo la Morogoro Mjini anataka
kuwa mbunge wa kwanza kuwa na rasta bungeni.
Akifunguka
kupitia kipindi …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment