August 09, 2015

                    

 Sherehe za uzinduzi wa kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara. Kivuko hicho kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6 mara moja na kimetengenezwa kuanzia mwaka jana kwa gharama ya shilingi Bilioni 3.3

                        
Rais Kikwete akizindua rasmi kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara.

                           

  Rais Kikwete akiongea na wananchi wakati wa sherehe za uzinduzi wa kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara.

                           

  Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara.

                          

 Rais Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mama Salma Kikwete na viongozi na wananchi wakiwa kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara wakitokea  Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara mara baada ya uzinduzi wa kivuko hicho.


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE