Mwigizaji Wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameibuka mshindi kwenye
kinyang'anyiro cha kura za maoni ubunge viti maalum Vijana(CCM) Tabora. Uwoya alipata kura 38 sawa na asilimia 95% huku mshindi wa pili akipata kura 34.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment